IQNA

Kozi ya Mafunzo kwa Majaji wa Mashindano ya Qur’an Yafanyika Nchini Algeria

Kozi ya Mafunzo kwa Majaji wa Mashindano ya Qur’an Yafanyika Nchini Algeria

IQNA – Waziri wa Awqaf wa Algeria, Youssef Belmahdi, ametangaza kukamilika kwa kozi ya tatu ya mafunzo kwa majaji wa mashindano ya Qur’ani Tukufu nchini humo.
17:07 , 2025 Nov 03
Mkuu wa Al-Azhar: Machafuko na Kukosekana kwa Mantiki Duniani Yatokana na Kupuuzwa kwa Maadili ya Kidini

Mkuu wa Al-Azhar: Machafuko na Kukosekana kwa Mantiki Duniani Yatokana na Kupuuzwa kwa Maadili ya Kidini

IQNA – Imamu Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmad al-Tayyib, amesema kuwa dunia inakumbwa na machafuko na ukosefu wa mantiki, hali ambayo chanzo chake ni kupuuzwa kwa maadili ya kidini na kiutu.
17:04 , 2025 Nov 03
Mhadhiri Mmisri Aelezea Maisha ya Kiislamu Nchini Japani

Mhadhiri Mmisri Aelezea Maisha ya Kiislamu Nchini Japani

IQNA – Kupitia ukurasa wake wa Facebook, mhadhiri wa chuo kikuu kutoka Misri, Sayed Sharara, amefungua dirisha la kipekee kuonesha maisha ya Waislamu nchini Japani.
17:00 , 2025 Nov 03
Wasichana Kutoka Ulimwengu wa Kiislamu Waadhimisha Hafla ya Kuanza Ibada Katika Haram ya Imam Ridha (AS)

Wasichana Kutoka Ulimwengu wa Kiislamu Waadhimisha Hafla ya Kuanza Ibada Katika Haram ya Imam Ridha (AS)

IQNA – Hafla ya kipekee ya kuashiria kuanza rasmi kutekeleza wajaibu wa ibada kwa wasichana arobaini kutoka mataifa mbalimbali iliandaliwa Jumatatu, Oktoba 27, 2025, katika ukumbi wa Dar al-Rahmah uliopo ndani ya Haram Tukufu ya Imam Ridha mjini Mashhad. Tukio hilo liliambatana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa Bibi Zaynab (SA), mfano wa ushujaa, hekima na ucha Mungu kwa wanawake wa Kiislamu.
17:21 , 2025 Nov 02
Chuo cha Kiislamu Sarajevo Chaandaa Semina Kuhusu Dhana ya ‘Muda’ Katika Qur’ani

Chuo cha Kiislamu Sarajevo Chaandaa Semina Kuhusu Dhana ya ‘Muda’ Katika Qur’ani

IQNA – Chuo Kikuu cha Gujrat, Kampasi ya Hafiz Hayat, nchini Pakistan kimeandaa semina maalum yenye kichwa cha habari “Dhana ya Muda kwa Mujibu wa Qur’ani Tukufu,” ikiwaleta pamoja wanafunzi kwa ajili ya maarifa ya kiakili na kiroho.
17:08 , 2025 Nov 02
Chuo cha Kiislamu Sarajevo Chaandaa Usiku wa Qur’ani kwa Mwaka Mwingine

Chuo cha Kiislamu Sarajevo Chaandaa Usiku wa Qur’ani kwa Mwaka Mwingine

IQNA – Chuo cha Masomo ya Kiislamu cha Sarajevo kimeandaa tukio lake la kila mwaka la “Usiku na Qur’ani,” likiwakutanisha wanafunzi na wahifadhi wa Qur’ani kwa jioni ya usomaji, tafakuri na kuthamini Kitabu cha Mwenyezi Mungu.
17:01 , 2025 Nov 02
Qari wa Misri atoa wito wa Umoja Miongoni mwa wahudumu wa Qur’ani Tukufu

Qari wa Misri atoa wito wa Umoja Miongoni mwa wahudumu wa Qur’ani Tukufu

IQNA – Qari maarufu wa Misri, Abdul Fattah Tarouti, ametoa wito wa kuepuka mifarakano miongoni mwa wahudumu wa Qur’ani Tukufu kufuatia mjadala ulioibuka kuhusu usomaji wa Qari mwenzake, Ahmed Ahmed Nuaina.
16:45 , 2025 Nov 02
Kujenga Mfano Hai wa Qur’ani: Msingi wa Jamii Inayoongozwa na Qur’ani – Mtaalamu wa Kiislamu

Kujenga Mfano Hai wa Qur’ani: Msingi wa Jamii Inayoongozwa na Qur’ani – Mtaalamu wa Kiislamu

IQNA – Lengo la elimu ya Qur’ani linapaswa kwenda mbali zaidi ya kuhifadhi, kuelekea kuunda “watu wa mfano wa Qur’ani hai” wanaoathiri jamii kupitia mwenendo wao, asema Hujjatul-Islam Seyyed Mohammad-Mehdi Tabatabaei kutoka Iran.
15:09 , 2025 Nov 02
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Misri Yaanza Hatua ya Awali kwa Washiriki wa Kimataifa

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Misri Yaanza Hatua ya Awali kwa Washiriki wa Kimataifa

IQNA – Mitihani ya awali imeanza rasmi kwa washiriki wa kimataifa wanaojiandaa kushiriki katika Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani, yanayoandaliwa na Wizara ya Awqaf ya Misri, yaliyopangwa kufanyika mwezi Disemba 2025.
14:47 , 2025 Nov 02
Ushirikiano katika Uislamu na Kujenga Jamii

Ushirikiano katika Uislamu na Kujenga Jamii

IQNA – Msingi wa jamii ni ushirikiano, kushirikiana, na kubadilishana manufaa. Kwa hivyo, mtazamo wa kielimu wa Kiislamu umechukulia ushirikiano kuwa miongoni mwa mahitaji ya fikra za kimaadili.
19:59 , 2025 Nov 01
Mwana wa Qari Maarufu Sheikh Abdul Basit Abdul Samad Afariki Dunia Huko Cairo

Mwana wa Qari Maarufu Sheikh Abdul Basit Abdul Samad Afariki Dunia Huko Cairo

IQNA – Mwana wa qari mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri, Sheikh Abdul Basit Abdul Samad (rahimahullah), ambaye sauti yake imehifadhiwa katika nyoyo za Waislamu duniani kote, amefariki dunia mjini Cairo siku ya Ijumaa, tarehe 31 Oktoba 2025.
19:23 , 2025 Nov 01
Mchambuzi: Kupokonya Silaha Harakati za Muqawama Ni Ndoto

Mchambuzi: Kupokonya Silaha Harakati za Muqawama Ni Ndoto

IQNA – Kuzungumzia suala la “ Kupokonya Silaha Harakati za Muqawama” si chochote ila ni ndoto ya kufikirika, kwani maana yake ni kuwavua watu utashi wao na utambulisho wao, amesema mchambuzi wa kisiasa wa Kipalestina.
19:19 , 2025 Nov 01
Matawi Mapya ya Shule ya Kuhifadhi na Kusoma Qur’ani Yazinduliwa Misri

Matawi Mapya ya Shule ya Kuhifadhi na Kusoma Qur’ani Yazinduliwa Misri

IQNA – Kituo cha Maendeleo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Kigeni katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimetangaza uzinduzi wa matawi mawili mapya ya Shule ya Kuhifadhi na Kusoma Qur’ani ya Imam el-Tayeb.
19:10 , 2025 Nov 01
Mwanazuoni: Siku ya Kiyama Itakuwa Maonyesho ya Majuto ya Watu Waliohadaiwa

Mwanazuoni: Siku ya Kiyama Itakuwa Maonyesho ya Majuto ya Watu Waliohadaiwa

IQNA – Akifafanua dhana ya Yawm At-Taghābun, mwanazuoni wa chuo kikuu cha kidini kutoka (Hawzah) Iran amesema kuwa katika Siku ya Kiyama, mtu ataonyeshwa si tu matokeo ya matendo yake, bali pia mahali pake palipopotea Peponi—mandhari itakayokuwa majuto makubwa na mateso ya kiroho yasiyoelezeka.
19:04 , 2025 Nov 01
Muislamu Mjapani asema Qur'ani ni Kama “Dawa Iliyoponya Baada ya Madaktari Kushindwa”

Muislamu Mjapani asema Qur'ani ni Kama “Dawa Iliyoponya Baada ya Madaktari Kushindwa”

IQNA – Mhubiri wa Kiislamu mzaliwa wa Japani, Fatima Atsuko Hoshino, amesema kuwa Qur'ani Tukufu imempa majibu ya maswali aliyokuwa nayo kwa muda mrefu na imemponya maradhi ambayo wataalamu wa tiba walishindwa kuyatibu.
17:33 , 2025 Oct 31
7