Habari Maalumu
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Yellowknife katika maeneo ya kaskazini-magharibi mwa Kanada (Northwest Territories) kimezindua programu za vijana kwa mara...
04 Sep 2026, 17:47
IQNA – Mwanamke mmoja wa Kimisri mwenye umri wa miaka 71 amefanikiwa kukamilisha Khatm Qu'ran (kusoma Qur’ani nzima) kwa siku moja pekee.
02 Sep 2026, 15:03
IQNA – Shirika la serikali ya Marekani limebaini kuwa kuna sababu za kimsingi za kuamini kuwa kampuni ya Cisco Systems iliwaweka wafanyakazi Waislamu na...
02 Sep 2026, 14:51
IQNA – Kila mwaka, mamilioni ya Waislamu husafiri kwenda Makka na Madina kwa ajili ya Hija na Umra, na kila mwaka, masuala ya uratibu wa usafirishaji,...
02 Sep 2026, 14:31
IQNA – Jumla ya wavamizi 5,209 wa Israel walivamia eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika Al-Quds ya Mashariki iliyokalia, huku vikosi vya uvamizi vya Israel...
02 Sep 2026, 14:25
IQNA – Mgogoro wa wakimbizi wa Rohingya umeingia katika mwaka wake wa tisa, huku zaidi ya watu milioni moja wakiwa wamekwama nchini Bangladesh bila matumaini...
02 Sep 2026, 14:18
IQNA – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Misri imeandaa semina 625 za kielimu zilizobeba anwani isemayo: “Mtume Mtukufu (SAW); Kielelezo Kamili...
01 Sep 2026, 20:07
IQNA – Hatua ya uvamizi na ukiukaji wa heshima ya Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa mjini Al Quds (Jerusalem) uliofanywa na waziri mwenye misimamo mikali ya...
01 Sep 2026, 19:21
IQNA – Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iraq ametoa wito na kueleza matumaini yake kuwa mpango wa kimataifa wa “Saa ya Qur’ani” (#QuranHour) utakuwa ukifanyika...
01 Sep 2026, 19:17
IQNA – Kituo kipya cha mafunzo na kuhifadhisha Qur’ani Tukufu kwa wanawake kiitwacho Kituo cha Maryam Bint Muhammad Bin Eid Al-Muhannadi kimefunguliwa...
01 Sep 2026, 19:13
IQNA – Mahakama ya Hakimu Mkazi katika jimbo la North Carolina, Marekani, imemfungulia mashtaka rasmi binti mmoja mwenye umri wa miaka 17; si kwa kufyatua...
01 Sep 2026, 19:10
IQNA – Msomi na mwanafalsafa wa Kiislamu kutoka Guinea amesisitiza kuwa umoja wa Kiislamu si kaulimbiu ya kisiasa, bali ni ulazima wa dharura kwa ajili...
31 Aug 2026, 17:04
IQNA – Awamu ya tatu ya Siku ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur’ani Tukufu imezinduliwa rasmi mjini Cairo, mji mkuu wa Misri, Jumapili asubuhi.
31 Aug 2026, 17:33
IQNA – Nakala adhimu ya Qur’ani inaonyeshwa katika Makumbusho ya Qur’ani Tukufu yaliyopo katika Eneo la Utamaduni la Hira mjini Makka, ikionyesha mbinu...
31 Aug 2026, 17:25
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa Kikosi chake cha Anga kimeshambulia maeneo na kambi za kijeshi za Marekani...
31 Aug 2026, 17:18
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema, watawala wahalifu na watenda jinai wa Marekani na wa utawala wa Kizayuni...
30 Aug 2026, 20:45