iqna

IQNA

india
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Katika hafla iliyofanyika Lucknow, mji mkuu wa jimbo la Uttar Pradesh nchini India, washindi wa mashindano ya usomaji wa Qur'ani na Adhan wameenziwa.
Habari ID: 3476944    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/01

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya India yenye misimamo ya kufurutu ada imefuta historia ya watawala wa Kiislamu katika vitabu vya masomo na kuzidi kuthibitisha kwamba, inafuatilia kwa nguvu zote siasa za kukabiliana na Waislamu pamoja na historia yao.
Habari ID: 3476921    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/27

Chuki dhidi ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Mwanamume mmoja Mwislamu mwenye umri wa miaka 56 aliripotiwa kuuawa na genge la watu wenye chuki siku ya Jumatano kwa tuhuma kwamba alikuwa amebeba nyama ya ng'ombe katika jimbo la Bihar nchini India.
Habari ID: 3476686    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi Waislamu wa kike nchini India Jumatano wamewasilisha ombi katika Mahakama ya Juu ya India wakitaka waruhusiwe kufanya mitihani ya kila mwaka ya vyuo vya Karnataka wakiwa wamevalia vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3476614    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/23

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Mamlaka za India zimebomoa msikiti wa karne ya 16 huko Uttar Pradesh kama sehemu ya mradi wa kupanua barabara.
Habari ID: 3476418    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Kamati ya Hijja ya India imeripotiwa kutangaza kwamba mahujaji laki mbili wataruhusiwa kuhiji mnamo mwaka huu wa 1444 Hijria Qamarai sawa na 2023.
Habari ID: 3476228    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/10

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Ripoti zinaonyesha kuongezeka kwa uuzaji wa nguo za Kiislamu nchini India huku kukiwa na marufuku ya hijabu ya Kiislamu kusini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3476179    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Uislamu na Mazingira
TEHRAN (IQNA) – Faiza Abbasi, mhadhiri wa vyuo vikuu nchini India ambaye mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo ya Rasilimali Watu cha UGC, amesema Uislamu unafundisha ubinadamu na kutunza mazingira ya sayari ya dunia.
Habari ID: 3476141    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa Kiislamu wa India anasema maadui wanaleta migawanyiko katika ulimwengu wa Kiislamu kwa vile hawataki kuona maendeleo ya Waislamu.
Habari ID: 3475947    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa mamlaka nchini India zinazidi kuwakandamiza na kuwaadhibi Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3475891    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475852    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) - Mashirika na vikundi vya Kiislamu huko Mumbai nchini India vimeanza kampeni ya kukuza mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) katika mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Habari ID: 3475848    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Mpango unatayarishwa wa kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa msikiti katika kijiji cha Dhannipur cha Ayodhya katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India.
Habari ID: 3475657    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21

Kadhia ya Kashmir
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia mwandamizi wa Pakistan amekashifu juhudi za India za kuonyesha haki halali ya mapambano ya uhuru wa Kashmir kama aina ya ugaidi.
Habari ID: 3475646    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Wanaume 11 waliohukumiwa kifungo cha maisha jela kwa ubakaji na mauaji ya mwanamke Mwislamu mjamzito na familia yake wakati wa ghasia mbaya katika jimbo la Gujarat nchini India wameachiliwa, na hivyo kuzua hasira dhidi ya serikali ya utaifa wa Kihindu nchini humo.
Habari ID: 3475636    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Maandamano yamezuka baada ya msikiti katika viunga vya Hyderabad nchini India kubomolewa na manispaa ya mji huo.
Habari ID: 3475572    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/03

Msomi wa Kuwait
TEHRAN (IQNA) – Msomi wa chuo kikuu nchini Kuwait alisema vikwazo vya kiuchumi ni mojawapo ya nguvu kuu za Waislamu katika kukabiliana na serikali zinazounga mkono chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3475455    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Balozi wa mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa indhari kuhusu kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475406    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Taasisi ya haki za binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vitendo vya kibaguzi dhidi ya Waislamu nchini India.
Habari ID: 3475404    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa mwito wa kupasishwa sheria ya kujinaisha na kupiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya dini mbalimbali duniani.
Habari ID: 3475402    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20