iqna

IQNA

umasikini
Qur'ani Tukufu Inasemaje /21
TEHRAN (IQNA) – Suala la umaskini limekuwa tatizo kubwa katika jamii za wanadamu katika historia. Je, mtazamo wa Uislamu ni upi kuhusu suluhisho la kimsingi la tatizo hili?
Habari ID: 3475959    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/20

Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Wakati fulani swali linazuka kuhusu namna Uislamu unavyoutazama umaskini na utajiri ni upi kwa mujibu wa aya za Qur'ani Tukufu na ni kipi chenye kuwa wa thamani. Lakini kwa kusoma vitabu vya Kiislamu inabainika wazi kwamba jibu la swali hili si rahisi sana.
Habari ID: 3475291    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/24