IQNA

Zaidi ya watu milioni 1.9 waliswali katika Al-Rawdah Al-Sharif ndani ya Al Masjid An Nabawi  wakati Hija

Zaidi ya watu milioni 1.9 waliswali katika Al-Rawdah Al-Sharif ndani ya Al Masjid An Nabawi wakati Hija

IQNA – Karibu watu milioni mbili waliswali katika Al-Rawdah Al-Sharif ndani ya Al Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina wakati wa msimu wa Hija wa mwaka uliopita wa 1446 Hijria.
17:28 , 2025 Jul 19
Picha: Kikao cha Usomaji wa Qur'an Katika Haram ya Shah Cheragh, Shiraz

Picha: Kikao cha Usomaji wa Qur'an Katika Haram ya Shah Cheragh, Shiraz

IQNA – Haram tukufu ya Shah Cheragh (AS) iliyoko katika jiji la Shiraz, kusini mwa Iran, iliandaa kikao cha usomaji wa Qur'an Tukufu jioni ya Jumatatu, tarehe 14 Julai 2025.
18:57 , 2025 Jul 18
Arbaeen ni fursa ya kuonesha ustaarabu mpya wa Kiislamu

Arbaeen ni fursa ya kuonesha ustaarabu mpya wa Kiislamu

IQNA – Afisa mmoja wa masuala ya utamaduni kutoka Iran amesema kwamba matembezi makubwa ya kila mwaka ya Arbaeen ni fursa ya kipekee ya kuonesha ustaarabu mpya wa Kiislamu.
18:45 , 2025 Jul 18
Rambi rambi za Ayatullah Sistani kufuatia moto wa jumba la biashara Iraq ambapo wengi walipoteza maisha

Rambi rambi za Ayatullah Sistani kufuatia moto wa jumba la biashara Iraq ambapo wengi walipoteza maisha

IQNA – Ayatullah Mkuu Sayyid Ali al-Sistani, kiongozi wa juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, ametuma salamu za rambi rambi kwa familia za wahanga wa tukio la moto mkubwa uliotokea katika jumba la biashara mjini Kut.
18:39 , 2025 Jul 18
Afrika Kusini kuweka huduma za Hija chini ya mamlaka moja

Afrika Kusini kuweka huduma za Hija chini ya mamlaka moja

IQNA – Huduma za Hija kwa Waislamu wa Afrika Kusini sasa zitawekwa chini ya usimamizi wa Baraza la Hija na Umra la Afrika Kusini (SAHUC).
18:33 , 2025 Jul 18
Dokumentari yatayarishwa kutambulisha Misikiti muhimu ya Misri

Dokumentari yatayarishwa kutambulisha Misikiti muhimu ya Misri

IQNA – Wizara ya Wakfu (Awqaf) ya Misri imetangaza kutayarishwa kwa mfululizo wa dokumentari zitakazoangazia misikiti muhimu ya nchi hiyo.
18:24 , 2025 Jul 18
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an Misri: Wizara ya Wakfu yatangaza tarehe ya mchujo

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an Misri: Wizara ya Wakfu yatangaza tarehe ya mchujo

IQNA – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza majina ya washiriki wa KiMisri waliokidhi masharti ya kushiriki katika mtihani maalum wa uteuzi, ili kuwachagua wawakilishi katika toleo la 32 la mashindano ya kimataifa ya Qur'an nchini humo, pamoja na tarehe ya mtihani huo.
18:16 , 2025 Jul 18
19