iqna

IQNA

Soleimani
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474444    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Ayatullah Ali Khamenei amejibu barua za viongozi wa harakati za mapambano ya kukomboa Palestina za Hamas na Jihad Islami akisisitiza kuwa: Nyoyo zetu ziko pamoja nanyi katika uwanja wa mapambano yenu, na hatimaye mtapata ushindi.
Habari ID: 3473941    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/24

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq maarufu kama Al-Hashdu-Sha'abi au PMU amesisitiza ulazima wa kutekelezwa agizo la bunge la nchi hiyo la kutaka askari wa jeshi la Marekani waondoke nchini humo.
Habari ID: 3473569    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18

TEHRAN (IQNA) – Televisheni ya Al Manar ya Lebanon Ijumaa usiku ilirusha hewani taswira za mkutano wa mwisho baina ya kamanda wa ngazi za juu wa Iran, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah.
Habari ID: 3473562    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/16

TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi wa harakati ya Jihadul Islami ya kupigania ukombozi wa Palestina nchini amepongeza nafasi ya Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani katika kuwaunganisha Wapalestina.
Habari ID: 3473552    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/13

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu Iraq amesema waranti uliotolewa hivi karibuni na mahakama moja ya Iraq wa kukamatwa rais Donald Trump wa Marekani anayeondoka ni ushindi kwa azma ya wananchi wa kuwaadhibu waliowaua makamanda wa muqawama.
Habari ID: 3473540    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/09

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wameandaa khitma kwa mnasaba wa kuwadia mwaka moja tokea auawe shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani .
Habari ID: 3473528    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/05

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amegusia namna rais wa Marekani Donald Trump alivyotoa amri ya kuuliwa kiwogawoga, Shahidi Qassem Soleimani , na kusema kuwa, shambulio hilo la anga linaonesha uchochole wa kupindukia wa Donald Trump ambaye ameshindwa kupambana na shujaa huyo katika medani ya mapambano na badala yake alimvizia kiwogawoga uraiani na kumuua.
Habari ID: 3473523    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kitaalamu la "Vyombo vya Habari na Njia ya Fikra ya Suleimani" lililofanyika leo katika Ukumbi wa Makongamano ya Kimataifa wa IRIB hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3473520    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03

TEHRAN (IQNA) - Alfajiri Januari Tatu unatimia mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Hajj Qassem Soleimani . Mhimili wa muqawama unakumbushia shahid huyo mkubwa na utawala wa Kizayuni pia umefurahishwa kwa kuuliwa kamanda huyo wa muqawama.
Habari ID: 3473517    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/02

Brigedia Jenerali Qaani
TEHRAN (IQNA) - Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) nchini Iran amesema kuwa Shahidi Qassem Soleimani ni shujaa wa taifa la Iran, Umma wa Kiislamu na vilevile shujaa wa kuyashinda madola ya kibeberu na kuongeza kuwa, njia ya Kikosi cha Quds na wanamuqawama haiwezi kubadilishwa kwa ushetani wa Marekani.
Habari ID: 3473513    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01

TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Qur’ani Tukufu imefanyika Tehran Jumanne kwa mnasaba wa kukaribia mwaka moja tokea alipouawa shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani .
Habari ID: 3473507    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kusudio la kuwaua viongozi na makamanda wa harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu ni lengo la pamoja la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na akabainisha kwamba, zimetolewa indhari na masisitizo na duru tofauti kuhusu uwezekano wa yeye kuuawa katika kipindi cha karibuni.
Habari ID: 3473500    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/28

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Iraq wameandamana katika mji mkuu, Baghdad, kulaan kitendo cha kigaidi cha Marekani cha kuwaua makamanda wakuu wa vita dhidi ya ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na mwanamapmabano mwenza wa Iraq Abu Mahdi al Muhandis.
Habari ID: 3473496    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wauaji wa shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani lazima walipiziwe kisasi na kisasi hiki hakina shaka na kitatekelezwa wakati wowote.
Habari ID: 3473463    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16

TEHRAN (IQNA) - Mshauri wa sera za kigeni wa Spika wa Bunge la Iran ameashiria mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye aliuawa kigaidi kufuatia amri ya rais Donald Trump wa Marekani na kusema, Trump ni gaidi nambari moja duniani.
Habari ID: 3473315    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31

TEHRAN (IQNA) – Wanachama wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi wameshiriki katika hafla ya kumuenzi shahdi Abu Mahdi al-Muhandis, naibu kamanda wa jeshi hilo aliyeuawa shahdi katika hujuma ya kigaidi ya jeshi la Marekani mwezi Januari.
Habari ID: 3472867    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/15

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu asema
TEHRAN (IQNA) - Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amemtaja Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Quds cha IRGC kama shakhsia aliyehuisha 'harakati za jihadi na kuuawa shahidi' katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3472471    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/14

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwa kumuua kigaidi shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Marekani ilivuka mistari yote miekundu na kwamba mauaji hayo yamegeuza mahesabu yote katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3472470    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/14

TEHRAN (IQNA) – Watu wa matabaka mbali mbali nchini Afrika Kusini wamekusanyika mbele ya Ubalozi wa Marekani mjini Pretoria kulaani sera za Rais Trump wa Marekani dhidi ya Iran.
Habari ID: 3472400    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/23