IQNA

Ramadhani 1445 H katika maeneo mbali mbali ya dunia: Ukumbi wa Picha

Waislamu kote duniani wako katika sumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Huu ni mwezi ambao mbali na kufunga, Waislamu hukithirisha vitendo vya ibada, kutoa sadaqa na kujumuika pamoja jioni wakati wa futari.

Picha hizi hapa chini zinawasilisha taswira ya Ramadhani katika maeneo mbali mbali ya dunia, kutoka Gaza hadi Pakista na Malaysia na kutoka New York hadi Ujerumani, Indonesia na Uturuki.