iqna

IQNA

lamu
TEHRAN (IQNA)- -Maelfu ya watu kutoka kote duniani wamehudhuria sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW ambazo zimefanyika katika Kisiwa cha Lamu eneo la Pwani ya Kenya.
Habari ID: 3474508    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03

TEHRAN (IQNA)- Wais lamu katika eneo la Matondoni, kaunti ya Lamu nchini Kenya leo wameshiriki katika matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474356    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28

TEHRAN (IQNA) - Wais lamu wa mji wa Lamu katika pwani ya Kenya wamejumuka na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.
Habari ID: 3473120    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wageni 20,000 kutoka kote duniani wanahudhuria sherehe za Maulid ya Mtume SAW inayofanyika katika Kisiwa cha Lamu katika Pwani ya Kenya.
Habari ID: 3471307    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/12