Maelfu ya Waislamu mjini Manitoba walikusanyika katika Msikiti Mkuu Jumamosi kusherehekea Eid al-Adha, mojawapo ya sherehe muhimu zaidi katika Uislamu.
Habari ID: 3477196 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/26
Mtume Muhammad SAW anasema: “Pambeni idi zenu kwa (kutamka) Allahu Akbar. (Kanz al Ummal: Hadithi 24094)
Habari ID: 3471984 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/04