IQNA

Siri ya ushindi katika kazi

Kiongozi wa Waumini, Ali AS amesema: Katika Ikhlasi ya nia kuna ushindi katika kazi. Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim , Hadithi ya 6510