Mtume Muhammad SAW amesema:
أفضَلُ الإيمانِ أن تَعلَمَ أنَّ اللهَ مَعَک حَيثُ ما کنتَ
Hali bora ya Imani ni kufahamu kuwa Mwenyezi Mungu yuko nawe kila mahala
Kanz al-Ummal, 1/66